MVUTANO wa kisiasa na kauli kali kutoka kwa viongozi wa zamani tayari umeanza kujitokeza nchini Kenya huku taifa hilo likijiandaa kwa uchaguzi wa mwaka 2027. Mijadala hiyo inaonekana katika mikusanyiko ya umma, makanisa na vyombo vya habari, ikiashiria kuwa hali ya kisiasa na kiuchumi ni ngumu. The post Siasa zayumbisha uchumi Kenya first appeared on HabariLeo .