CCM: Pengo atakumbukwa kwa faraja, tumaini

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema Askofu Mkuu mstaafu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo alikuwa kiongozi wa kiroho mwenye hekima. Katibu Mkuu CCM, Dk AshaRose Migiro amesema hayo baada ya kusaini kitabu cha maombolezo katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu, Dar es Salaam. The post CCM: Pengo atakumbukwa kwa faraja, tumaini first appeared on HabariLeo .