SERIKALI imesema imeweka mkakati wa kutangaza madini ya tanzanite nchini Qatar ili kuongeza wigo wa masoko yake na kuvutia uwekezaji na utalii. The post Tanzania kuitangaza ‘Tanzanite’ Qatar first appeared on HabariLeo .