Mwili wa Kardinali Pengo kuagwa leo Dar

MWILI wa Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo (81) unaagwa leo katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu, Dar es Salaam. Kardinali Pengo aliaga dunia usiku wa Februari 19, wakati akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Dar es Salaam. The post Mwili wa Kardinali Pengo kuagwa leo Dar first appeared on HabariLeo .