Rais Samia afanya mazungumzo na balozi Singapore, Tz

DAR ES SALAAM; RAIS wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Singapore nchini Tanzania, Douglas Foo, leo Februari 27, 2026 Ikulu, jijini Dar es Salaam.   Pamoja na mambo mengine mazungumzo hayo yalilenga kuimarisha uhusiano baina nchi hizi mbili haswa katika masuala ya teknolojia,elimu, afya na miundombinu. The post Rais Samia afanya mazungumzo na balozi Singapore, Tz first appeared on HabariLeo .