ZANZIBAR YAWEKA WAZI HATUA ZILIZOCHUKULIWA DHIDI YA MELI ILIYOKAMATWA NA COCAINE, YATAJA KUSHIRIKIANA NA INTERPOL

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetangaza kuifuta usajili wake mara moja meli ya EAGLE (IMO No. 8203074) kufuatia taarifa za kukamatwa kwa chombo hicho nchini El Salvador kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya. Kulingana na taarifa iliyotolewa leo Februari 27, 2026 na Mamlaka ya Usafiri Baharini Zanzibar, meli hiyo inadaiwa kuwa ilikuwa inapeperusha […] The post ZANZIBAR YAWEKA WAZI HATUA ZILIZOCHUKULIWA DHIDI YA MELI ILIYOKAMATWA NA COCAINE, YATAJA KUSHIRIKIANA NA INTERPOL appeared first on Jambo TV Online .