ZAO la embe ni fursa kubwa sana katika kujipatia uchumi endelevu lakini bado wakulima au jamii kwa ujumla haijatambua na kuona kuwa kilimo hiki ni fursa kama ilivyo kwa kilimo cha mazao mengine ya biashara yanayolimwa kwenye maeneo mbalimbali nchini kama vile ufuta, korosho na mengine. The post Kilimo cha maembe ni fursa ya biashara first appeared on HabariLeo .