Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe amewataka wanataaluma wa lishe nchini kutoa elimu sahihi kwa wananchi kwa viwango vinavyokubalika kupitia kwa makundi mbalimbali ikiwemo wana-habari, mama lishe, baba lishe ili jamii ione faida ya uwepo wa wanataaluma hao. Dkt. Magembe amesema hayo alipokua anafungua Mkutano Mkuu wa Nne wa Chama cha Wataalamu wa Lishe …