Balozi Omar awataka TRA kuongeza makusanyo

WAZIRI wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omar amewaagiza  viongozi wa Mamlaka ya Mapato  Tanzania (TRA) kuendelea kuwa wabuni katika ukusanyaji wa mapato nchini. Akishiriki hafla ya futari iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) jijini Dar-es-salaam , Balozi  Omar  amesema serikali inampango wa kuendelea kuhamasisha makusanyo ya mapato katika maeneo mengine mikoani. The post Balozi Omar awataka TRA kuongeza makusanyo first appeared on HabariLeo .