Wanawake kuwezeshwa umiliki wa Ardhi

KATIKA kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani itakayofanyika Machi 8, 2026, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeandaa kliniki maalum ya ardhi kwa wanawake ijulikanayo kama ‘Samia Ardhi Kliniki’, itakayotoa msaada wa kitaalamu kuhusu masuala ya ardhi pamoja na utoaji wa hati miliki kwa wanawake waliokidhi vigezo. The post Wanawake kuwezeshwa umiliki wa Ardhi first appeared on HabariLeo .