MWANZA: Wahudumu wa afya wanaotarajiwa kutoa huduma katika jengo jipya la watoto njiti lililopo Hospitali ya Wilaya ya Kwimba wamepatiwa mafunzo maalumu ya namna bora ya kutumia vifaa vya kisasa pamoja na kuwahudumia watoto hao ili kuboresha huduma kwa watoto na mama zao. Mafunzo hayo yamelenga kuwajengea uwezo wahudumu hao katika utoaji wa huduma kwa … The post Wapatiwa mafunzo kuhudumia watoto njiti first appeared on HabariLeo .