MWANZA; Wanawake wawili wa wilayani Kwimba, mkoani Mwanza wamezungumzia changamoto walizopitia wakati wa kujifungua, wakilazimika kusafiri umbali mrefu kwa pikipiki wakiwa na uchungu hadi hospitalini na kujifungua watoto njiti. Happyness Muhaji, amesema alisafiri kwa zaidi ya saa mbili na mtoto wake hakulia hadi baada ya saa nane, kisha alikaa wiki moja bila kumuona kutokana na … The post Wasifu uwepo wa jengo la watoto njiti Kwimba first appeared on HabariLeo .