RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amewahimiza waumini wa dini ya Kiislamu kuwasaidia watu wasiojiweza hususan katika kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ili kutimiza ibada ya funga kwa moyo wa huruma. The post Mwinyi awahimiza waislamu kusaidia wenye uhitaji first appeared on HabariLeo .