Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema kuna hatua kubwa ya mafanikio kuhusu mazungumzo ya kisiasa ya kutafuta suluhu ya mgogoro uliopo Zanzibar.