Serikali imefungua milango kwa sekta binafsi kutoa huduma ya maji ili kuleta ushindani na mamlaka za maji nchini.