NYASA, RUVUMA: Wakati taifa likichukua hatua mbalimbali kukuza uchumi wa kidijiti, Kampuni ya Helios Towers imetoa vifaa vya kisasa vya maabara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) vyenye thamani ya Shilingi milioni 30/- kwa shule ya Sekondari ya Tingi iliyopo wilayani Nyasa, Ruvuma, ikiwa ni sehemu ya uwajibikaji wake kwa jamii. Akizungumza wakati wa … The post Helios yatoa vifaa vya mil 30/- kukuza TEHAMA shuleni first appeared on HabariLeo .