Mahakama yatoa siku 30 kuanza majadiliano kesi ya wizi wa Sh364 milioni

Mladeno na Ndambile, wanakabiliwa na mashtaka sita yakiwamo ya kuongoza genge la uhalifu wa kupangwa na kujihusisha na miamala ya kutoa fedha yenye thamani ya Sh364 milioni kutoka Benki ya CRDB na NBC.