DAR ES SALAAM: Tanzania inaendelea kupiga hatua katika kujenga uchumi unaotegemea maarifa na ubunifu, kupitia sera na mikakati mbalimbali, huku Serikali ikiweka mazingira yanayowezesha watafiti, wabunifu kukuza mawazo yao na kuyageuza kuwa suluhisho halisi kwa jamii. Msukumo huu unalenga kuhakikisha maendeleo ya kiteknolojia yanayotokea duniani yanatumika kama fursa ya kujifunza, kubuni na kuzalisha bidhaa na … The post Bunifu MUHAS zaleta matokeo chanya sokoni first appeared on HabariLeo .