Na Mwandishi Wetu,Kwimba WATUMISHI wote wa idara ya afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza wamepatiwa mafunzo ya matumizi sahihi na salama ya gesi ya kupikia sambamba ba kuelezea kwa kina madhara yanayotokana na matumizi ya kuni na mkaa kiafya. Mafunzo hayo yametolewa na Kampuni ya Oryx Gas Tanzania ambapo lengo kuu ni […] The post WATUMISHI SEKTA YA AFYA KWIMBA WAPEWA ELIMU YA MATUMIZI YA NISHATI SAFI appeared first on Jambo TV Online .