Miriam Odemba atunukiwa tuzo ya heshima Temeke

DAR ES SALAAM: MWANAMITINDO nguli wa Kimataifa Mtanzania anayeishi nchini Ufaransa, Miriam Odemba, ametunukiwa tuzo ya heshima na Uongozi wa Shule ya Msingi ya Jeshi la Wokovu iliyopo Temeke Dar es Salaam kwa kutambua mchango wake shuleni hapo. Miriam Odemba ametunukiwa tuzo hiyo katika siku yake ya kuzaliwa iliyoambatana na utoaji misaada, chakula cha pamoja … The post Miriam Odemba atunukiwa tuzo ya heshima Temeke first appeared on HabariLeo .