Wanafunzi vyuoni wajadili bunifu kusaidia jamii

DAR ES SALAAM: TAASISI ya Youth Innovation Foundation imewakutanisha wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali kutokea Dar es salaam wanaosomea kada Sayansi na teknolojia kwa ajili ya bunifu zinazolenga kutatua matatizo katika jamii inayotuzunguka. Hayo ameyasema leo jijini Dar es salaam CPA, Deborah Wami Mkurugenzi wa Youth Innovation Foundation wakati alipowakutanisha wanafunzi hao na kusema kuwa wanatafuta … The post Wanafunzi vyuoni wajadili bunifu kusaidia jamii first appeared on HabariLeo .