Watumishi Kwimba wapewa elimu matumizi gesi ya kupikia

WATUMISHI  wa idara ya afya Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza wamepatiwa mafunzo ya matumizi sahihi na salama ya gesi ya kupikia sambamba na kuelezwa kwa kina madhara yanayotokana na matumizi ya kuni na mkaa kiafya. Mafunzo hayo yametolewa na Kampuni ya Oryx Gas Tanzania, lengo ikiwa ni kuiwezesha kada hiyo ya sekta ya … The post Watumishi Kwimba wapewa elimu matumizi gesi ya kupikia first appeared on HabariLeo .