Taasisi isiyo ya kiserikali ya RAOMA Foundation kwa kushirikiana na kampuni ya teknolojia na mawasiliano ya Vodacom Tanzania Plc leo wamezindua mfumo mpya wa kidijitali wa elimu unaoitwa SOMO, chini ya kampeni mpya ya Twende Zetu Darasani. SOMO ni mfumo wa kidijitali ulioundwa mahususi na Vodacom Tanzania Plc ili kusaidia ufundishaji na ujifunzaji wa masomo yote kwa kuzingatia mtaala wa elimu wa taifa. Mfumo huu unamuwezesha Mwalimu kufundisha wanafunzi walio katika maeneo mbalimbali nchini kwa wakati mmoja. Mfumo huu unalenga kuimarisha juhudi zilizopo katika sekta ya elimu, kuunganisha shule na walimu kupitia teknolojia na kutoa zana shirikishi kwa wanafunzi na […] The post Raoma, Vodacom Wazindua Mfumo wa Kidijitali ‘SOMO’ Chini ya Kampeni ya Twende Zetu Darasani appeared first on SwahiliTimes .