KIGOMA: TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kigoma imesema mpango wa taasisi hiyo kusikiliza kero za wananchi maarufu kama ‘TAKUKURU RAFIKI’ umefanikisha ujenzi wa zahanati kijiji cha Kabare kilichopo Wilaya ya Kakonko mkoani humo. Mkuu wa taassi hiyo mkoani humo, Asha Kwariko akitoa taarifa ya utendaji wa taasisi hiyo kwa kipindi … The post Takukuru Rafiki yafanikisha ujenzi zahanati Kabare first appeared on HabariLeo .