Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia namna ukaribu wa Marioo na Harmonize unavyoweza kuwaathiri kibiashara. Anasema Ukaribu wao una madhara makubwa kwa Marioo kuliko Harmonize kwa sababu hakuna ushindani. Anasema ili Marioo awe mkubwa lazima ashindanishwe na wakubwa na wasanii ambao Marioo anawez akushindanishwa no miongoni ni Harmonize. Uchambuzi mzima upo katika akaunti …