RECAP: Kwanini Diamond ana Collabo 2 na wasanii wa Kenya??, Wana ugomvi?? – El Mando

Leo kupitia kwenye kipindi cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameuzungumzia ujumbe wa msanii wa Kenya @akotheekenya kuhusu collabo yake na @diamondplatnumz miaka 10 iliyopita. Amesema @aytanzania hakuhusika kwenye kumsaidia ile collabo aliyehusika ni Godfather na alimsaidis kwa Diamond na Mr Flavour. Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive