DAR ES SALAAM: MWENYEKITI wa Bunge Marathon na Bunge Bonanza, Festo Sanga, ametangaza kuwa mbio za Bunge Marathon msimu wa tatu zinatarajiwa kufanyika Aprili 18, 2026 katika Viwanja vya Jamhuri mkoani Dodoma. Akizungumza na waandishi wa habari Februari 28, 2026 jijini Dar es Salaam, Sanga amesema maandalizi ya tukio hilo yamekamilika na lengo kuu ni … The post Bunge Marathon msimu wa 3, kuja kivingine! first appeared on HabariLeo .