‘Miradi ya miundombinu ikamilike wa wakati’

Wakati mvua zikiendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali, Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Dunstan Kyobya, ametaka miradi ya miundombinu kukamilika kwa wakati ili kuepusha wananchi kukwama kwenye shughuli zao za kiuchumi.