DAR ES SALAAM: Mkuu wa Magereza Mkoa wa Dar es Salaam, Rashid Mangara, amezitaka taasisi za kifedha kuongeza ubunifu katika utoaji wa huduma zao, hususan mikopo yenye masharti nafuu ili kuwasaidia wajasiriamali wadogo kukuza shughuli zao za kiuchumi. Mangara ametoa kauli hiyo leo Februari 28, jijini Dar es Salaam, wakati wa semina ya elimu kuhusu … The post ‘Taasisi za kifedha ziwezeshe wajasiriamali’ first appeared on HabariLeo .