Zaidatu alisafiri Agosti 30, 2025 kwenda katika nchi hiyo akiwa na matumaini ya kujiongezea kipato kupitia kazi za ndani.