Wajumbe SHIRECU wapitisha rasimu bajeti bil 2.8/-

SHINYANGA: WAJUMBE wa Chama Kikuu Cha Ushirika mkoani Shinyanga (SHIRECU)  wamepitisha rasimu ya bajeti ya zaidi ya Sh bilioni 2.8 kwa mwaka wa fedha 2026/2027 huku ikijizatiti kuanza kukopesheka kwenye taasisi za kifedha. Wajumbe hao wamepitisha bajeti hiyo leo Februari 28,  baada ya Meneja wa SHIRECU, Alphonce Makasi kuwasomea taarifa na rasimu ya bajeti kwenye … The post Wajumbe SHIRECU wapitisha rasimu bajeti bil 2.8/- first appeared on HabariLeo .