Vijana, watoto watakiwa kwenye michezo

SHINYANGA: WANANCHI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga wameaswa kuwapa nafasi vijana na watoto kushiriki michezo kwani kufanya hivyo itawasaidia kupata mwanga na kufikia ndoto katika vipaji vyao. Mkuu wa Wilaya ya Kishapu, Peter Masindi alisema kwenye tamasha la amani na maendeleo ambalo limefanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Buduhe nakuratibiwa na … The post Vijana, watoto watakiwa kwenye michezo first appeared on HabariLeo .