SHINYANGA: CHAMA Kikuu cha Ushirika mkoani Shinyanga (SHIRECU) kimenunua tani 387 za dengu kwa thamani ya Sh milioni 386 kutoka Vyama vya Msingi vya Ushirika (AMCOS) sita katika msimu wa kuanzia Julai hadi Septemba mwaka 2025. Hayo yamesemwa na Meneja wa Chama hicho, Alphonce Makasi alipokuwa akitoa taarifa kwenye Mkutano Mkuu wa 31 uliohudhuliwa na … The post SHIRECU yanunua tani 387 za dengu kwa mil 386/- Shinyanga first appeared on HabariLeo .