Jeshi la Polisi mkoani Mara limewataka viongozi wa Baraza la wanawake wa chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema Bawacha kusistisha mpango wao wakufanya maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani march8,2026 mjini Musoma badala yake kufata amri ya mahakama yakutokufanya shughuli za kisiasa hadi hadi kesi yao ya msingi itakapomalizika mahamani. Kamanda wa polis mkoa […] The post POLISI WAWAPIGA ‘STOP’ BAWACHA KUFANYA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI appeared first on Jambo TV Online .