DODOMA: Waziri wa Maliasili na Utalii, Ashatu Kijaji amesema uwekezaji wa tekinologia ya kutambua makundi ya tembo ili kudhibiti mwingiliano wa makundi ya wanyama na binadamu kutasaidia kupunguza vifo na uharibifu wa mali na mazao ya wananchi. Hatua hiyo ya waziri imekuja wakati kukiwa na migogoro katika ya wananchi wanaozunguka hifadhi na wanyama na … The post Kijaji azindua mikanda ya mawasiliano ya tembo first appeared on HabariLeo .