MWANZA: Jengo la kisasa lenye viwango vya kimataifa kwa ajili ya kuhudumia watoto njiti limezinduliwa katika Hospitali ya Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza na Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Dk Mohamed Janabi. Dk Janabi alimwakilisha Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dk Tedros Adhanom Ghebreyesus. Jengo hilo limejengwa … The post Dk Janabi azindua jengo watoto njiti Kwimba first appeared on HabariLeo .