GEITA: SERIKALI inakusudia kuunda chombo maalum kwa ajili ya kuimarisha ulinzi na kudhibiti shughuli haramu ikiwemo uvuvi haramu ndani ya ziwa Victoria, mito na vyanzo vingine vya maji. Waziri wa mifugo na uvuvi Balozi Dk Bashiru Ally alisema taarifa hiyo juzi akiwa ziarani kukagua miundombinu ya uvuvi pamoja na soko la dagaa la Chato Beach … The post Mkakati wasukwa ulinzi Ziwa Victoria first appeared on HabariLeo .