Wakulima wa zao la kahawa katika Wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma, wameanza kushuhudia ongezeko la tija, ubora na bei ya zao hilo, hali inayochochea matumaini mapya ya kuinua uchumi wa kaya na vijiji kwa ujumla.