Polisi yaipiga ‘stop’ Bawacha Mei 8 Mara, Chadema yajibu mapigo
Polisi Mkoa wa Mara imezuia maadhimisho ya siku ya wanawake yaliyoratibiwa na Baraza la Wanawake Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha) yaliyotarajiwa kufanyika Mjini Musoma mkoani humo Machi 8, 2026.