Prof Shemdoe aagiza watumishi 14 Muheza kusimamishwa kazi

TANGA: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amemuelekeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza akisimamiwa na RAS kuwapumzisha kutekeleza majukumu yao watumishi 14 wa halmashauri hiyo ambao wanatuhumiwa kusababisha changamoto zilizokwamisha ujenzi wa jengo la utawala. Hatua hiyo ni kwa mujibu wa … The post Prof Shemdoe aagiza watumishi 14 Muheza kusimamishwa kazi first appeared on HabariLeo .