Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo amepiga marufuku mtu yeyote kuuza au kununua ardhi ya mashamba ya mpunga yaliyopo ndani ya mradi wa umwagiliaji Mkombozi uliopo Pawaga mkoani Iringa.