Watoa wito wanaoichafua serikali mitandaoni

TANGA: KIKUNDI cha Amani nchini kimeitaka Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuongeza kasi ya kuwafuatilia na kuwachukulia hatua kali watu wanaojiita wanaharakati wa mitandaoni wanaotumia majukwaa hayo kupotosha ukweli na kuichafua Serikali. Kauli hiyo imetolewa jijini Tanga na Mwenyekiti wa Kikundi cha Amani nchini, Hassan Hamisi Kubebelwa katika mkutano maalum wa kikundi hicho … The post Watoa wito wanaoichafua serikali mitandaoni first appeared on HabariLeo .