Vijana Kagera wapewa elimu mikopo ya halmashauri

KAGERA: Kamati ya Utekelezaji ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM, (UV CCM) mkoani Kagera imezindua kampeini ijulikanayo kama Vijana Daka Fursa na Samia maarufu kama VIDAFUSA ambayo imeenda sambamba na utaoji wa elimu ya namna bora ya kutumia mkopo wa asilimia 10 unaotolewa na halmshauri kwa makundi maalumu. Mwenyekiti wa Umoja wa … The post Vijana Kagera wapewa elimu mikopo ya halmashauri first appeared on HabariLeo .