Uongozi Kanisa la Wasabato wapata hisia mseto ukaguzi wa CAG

Uongozi wa Kanisa la Waadventista Wasabato (SDA) Tanzania, umevunja ukimya juu ya tuhuma za ubadhirifu wa mali huku ukifichua kwamba mgogoro huo una zaidi ya miaka mitano.