Kanisa Anglikana Mbagala kufungisha ndoa za pamoja

Kanisa Anglikana la Mtakatifu Msalaba Mbagala jijini Dar es Salaam, limetangaza mpango wa kufungisha ndoa za pamoja Aprili 1, 2026 kwa waumini wanaoishi na wenza wao bila kufunga ndoa takatifu.