Mfanyabiashara Arusha aendelea kushikiliwa, Bunge laombwa idhini

Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Wilaya ya Arusha, Dominic Mollel, anaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi, huku jitihada za kumpata mbunge wa Moshi Vijijini (CCM), Morris Makoi, zikitarajiwa kutua kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.