KAPOMA AWAHIMIZA WANAWAKE MORO KUCHANGAMKIA FURSA ZA SERIKALI KUJIKWAMUA KIUCHUMI

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Josephine Kapoma, amewahimiza wajasiriamali wadogo, hususan wanawake, kuchangamkia fursa mbalimbali zinazotolewa na Serikali ili kujiimarisha kiuchumi na kuongeza kipato chao. Kapoma alitoa wito huo alipowatembelea wajasiriamali katika Kata za Kingo na Bigwa, Manispaa ya Morogoro, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani. […] The post KAPOMA AWAHIMIZA WANAWAKE MORO KUCHANGAMKIA FURSA ZA SERIKALI KUJIKWAMUA KIUCHUMI appeared first on Jambo TV Online .