Tanzania, Afrika itakavyoathirika na mzozo Mashariki ya Kati

Mashambulizi mapya ya Marekani na Israel dhidi ya Iran yanahofiwa kusababisha athari kwa Tanzania, kutokana na ukanda wa Mashariki ya Kati kuwa na mchango katika mnyororo wa usambazaji wa mafuta katika soko la dunia.