Waziri Mkuu wadogo zako wakuige - Sumaye

Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye, amewasihi wasaidizi wa Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba kuiga namna anavyotatua changamoto na kero za wananchi kwa kusikiliza na kuzitatua.