Rais Mwinyi ahimiza amani na mshikamano nchini

Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi, amewataka Watanzania kudumisha amani, utulivu na mshikamano katika taifa, kwani bila amani hakuna mafanikio yanayoweza kufikiwa.